Sunday, March 8, 2015

NAFASI ZA SHULE

Shule ya Brain Trust Pre Primary, Secondary na High School zinatangaza nafasi za masomo kama ifuatavyo:-
1.     Nafasi za Nursery (Lower, Middle na Top Class)
2.     Nafasi za Primary (Darasa la Kwanza hadi la Saba)
3.     Nafasi za Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Nne
4.     Nafasi maalumu kwa Kidato cha Tatu kwa wale waliohitimu Kidato cha Nne na kushindwa kupata  
        sifa za kujiunga na Kidato cha Tano.
5.     QT (Sekondari miaka miwili)
5.     Nafasi za Pre Form Five kwa wale wanaohitaji kuanza masomo ya Kidato cha Tano mapema.
6.     Nafasi za Kidato cha Tano kuanzia Julai, 2015.

Ada ni nafuu na inalipwa kwa awamu. Njoo sasa Brain Trust Schools upate elimu bora. Shule ipo
Buza Kanisani, Barabara ya Buza, Temeke, Dar es Salaam. Uliza BRAIN TRUST

Au piga simu 0755944707,  0714226080.

Njoo uchukue Fomu sasa

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.